Wizara ya afya Kaunti ya Turkana imeanzisha kampeni ya kuwahamasisha wakaazi kuhakikisha wanajisajili kwenye bima mpya ya afya ya SHA